Latest
Programu ya Mafunzo Matumizi ya Ubao Janja
REO wa Mkoa wa Shinyanga, Mwl. Samson Hango ni Champion wa Matumizi ya Ubao Janja (Smart Board).
Stay informed with the latest educational innovations, digital resources, courses, events, and opportunities designed for learners, educators, and partners..
Latest
REO wa Mkoa wa Shinyanga, Mwl. Samson Hango ni Champion wa Matumizi ya Ubao Janja (Smart Board).
Featured
Prof. Mkenda alisema mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu, yakilenga kuboresha ufundishaji wa masomo ya amali kwa kutumia mbinu na teknolojia za kisasa walizojifunza nchini India.
Featured
Walimu 150 wa elimu ya amali wamerejea nchini baada ya kuhudhuria mafunzo ya mwezi mmoja nchini India yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya ufundi na stadi za kazi. Walimu hao walipokelewa na Waziri wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, pamoja na Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda.
Featured