MPANGO WA UFADHILI WA WALIMU (TSP).
EDUCATION

MPANGO WA UFADHILI WA WALIMU (TSP) - PUNGUZO LA ADA YA MASOMO KWA 50%

Chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT), kipo katika mkakati wa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu yenye ubora wa hali ya juu kwa walimu waliopo makazini.

Lengo la mpango huu wa punguzo la ada ni kuimarisha uwezo wa rasilimali watu ili kupata maarifa, ujuzi, na umahiri unaohitajika ili kusaidia mageuzi katika sekta ya elimu kwa njia ya masafa, huria na mtandao hivyo kinaweza kuwafikia wanafunzi wake katika maeneo yao bila kuathiri shughuli zao za kila siku za kijamii, kiuchumi na kiutumishi.

Comments

No Comments

Leave A Comment